AIBU:!!!! MASTAA WA KIKE WAFUNGUKIA NYETI BANDIA
MASTAA wa
kike wa fani mbalimbali nchini, wamezungumzia matumizi ya nyeti bandia,
baadhi wakizipongeza kuwa zinawasaidia kuondokana na ‘stress’ za
wanaume huku wengine wakiziponda kuwa hazina ‘ladha’.
HIZI UMESOMA?
Baadhi ya wasanii hao walisema kuwa
ingawa wanazifahamu na hata kuwajua wanaotumia wao wanaamini wanaotumia
ni wale ambao hupenda kufanya tendo kila siku wakiwa na wenza wao, hivyo
wanaposafiri au kusigana kidogo, ndipo wanapolazimika kuzitumia.
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Isabela Mpanda.HIZI UMESOMA?
0 comments: