AJALI... GARI LAPINDUKA WAKATI DEREVA AKIWAKIMBIA ASKARI POLISI
Baadhi
ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota
Spacio lenye namba za usajili T111 BHW likiwa limepinduka chini juu
mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma, Moshi jirani kabisa na mnara wa
saa.Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa
kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine
na hatimaye kupinduka hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la
ajali.
(Picha na Dixon Busagaga)
0 comments: