Ni Profesa Jay na CHADEMA.. Unajua kilichotokea leo? Kisome hapa uone na picha.. Proo
Mkongwe kwenye Game, Profesa Jay leo ameandika historia nyingine tangu atangaze kuingia rasmi kwenye jukwaa la kisiasa.
Unajua kwamba jamaa alitangaza rasmi kuvaa gwanda la CHADEMA sasa leo
ameendelea kuandika historia nyingine, kupitia ukurasa wake wa
Instagram, Profesa Jay ameweka picha nane akionyesha shughuli za
ufunguzi wa tawi jipya la CHADEMA huku akihamasisha wananchi kushiriki kujiandikisha kwenye daftari la makazi na kisha kupiga Kura.
Hiki ndicho alichokiandika; “..Kuhamasisha
wananchi kujiandikisha na kisha kupiga KURA. …. Hamasisha na kwa watu
wako ili wajitambue na kunitumia vema HAKI yao ya kuchagua viongozi wao
kwa maendeleo yao!!!…”- Prof. Jay
“..Ufunguzi
wa matawi mapya, Ujengaji wa chama na uhamasishaji kwa wananchi
kujiandikisha kwenye daftari la makazi na kisha kupiga KURA! !!..”
Picha mbili na kile alichokiandika viko hapa.
0 comments: