angalia picha za kuhuzunisha za maisha ya watanzania wakati viongozi woa wakila bata,
Haya ndiyo maisha ya watanzania
huko vijijini hakika ni masikitiko makubwa
kuona nchi yenye utajri mkubwa bado watu wake wanaishi katika umasikini mkubwa sana
kuona nchi yenye utajri mkubwa bado watu wake wanaishi katika umasikini mkubwa sana
hii ni nyumba ya mtu !!!!! haya yote yanatokana umasikini unaowakabili watanzania huko vijijini
tazama umasikini huu kupitia nyumba wanayoishi watu hawa
kwa hali hii utasikia viongozi wanasema uchumi unapanda hivi ni kweli?
katika nchi yenye madini na mbuga
za wanyama wengi bado watu wake wanaishi katika umasikini
huu wa kupindukia yani mshangao sana
Hii ndiyo halisi ya watanzania huko
vijijini wanavyoishi kwenye umasikini mkubwa licha ya nchi yetu
kuwa tajiri lakini watu wake ni masikini hili fundisho kwenu
watanzania ambao mmekuwa mnachagua viongozi kwa mazoea bila
kuangalia kiongozi yupi anaweza kutusaidia kuondokana na
umasikini huu maana nchi yoyote yenye viongozi mafisadi haiwezi
kuendelea kabisa zaidi kuishia kwenye umasikini
0 comments: