BAADA YA WEMA KUPIGWA CHINI...DIAMOND AJIACHIA NA ZARI YULE TAJIRI WA NGUVU (BOSS LADY)
Diamond
Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss
Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika
Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana.
Ni movie inaendelea? Diamond na Zari
Picha
za wawili hao wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar
zinawaonesha wakifurahia muda wa faragha pamoja kama wapenzi vile.
Maswali
yanayozunguka kwenye vichwa vya wengi ni je wawili hao ni item tayari
au ni movie inaendelea kama apendavyo kusema hitmaker huyo wa Number 1?
Tayari
mashabiki wameanza kuhusi kuwa kuna uhusiano mpya uliozaliwa kati ya
mastaa hao ambapo katika picha moja Zari aliandika: Don’t live your life
enslaved by guilt. You must do what is right for you, even if other ppl
have a problem with it. #Diamonds #MummyFabulousSelf.” Wengi
walihitimisha kuwa amemaanisha bae wake huyo mpya na hivyo kumlazimu
kufafanua: For fucks sake I meant #Diamonds as in my stones ��������…
Y’all african people be tripping #IdleMinds.”
“Awwwwwwwwwwwww
kila la kheri @diamondplatnumz follow what your heart say n you have
to live your life wish you all the best with your new bae if it is true
@zarithebosslady,” ameandika mtu mmoja.
0 comments: