TAZAMA PICHA KILICHOJIRI KWENYE MAZISHI YA MWANAMUZIKI WA TWANGA PEPETA AMIGOLAS
Waombolezaji wengine wakijiandaa kuelekea katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
MAZIKO ya mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya African
Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘Amigolas’
aliyefariki juzi amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es
Salaam na kuhudhuria na mamia ya watu.
0 comments: