BREAKING NEWSS..!! HATIMAYE MISS TZ SITTI MTEMVU AJIVUA RASMI TAJI LA MISS TANZANIA NA KUMKABIDHI ALIYEKUA NAMBA MBILI "LILIAN"..KWENYE UKUMBI WA JB BELL MOUNT..
Baada ya kusakamwa na maneno mengi ya
watanzania SITTI MTEMVU ajivua rasmi taji la miss tanzania na kumkabidhi
aliyekuwa miss tz namba 2 "LILIAN" kwenye ukumbi wa JB BELL MOUNT h
Taarifa zaidi tutaendelea kukuletea kwa
yote yatakayo endelea...endelea kutembelea blog yako ya kijanja
starslinktz.blogspot.com kwa taarifa zaidi
0 comments: