CHEKI VIOJA VYA SERENGETI FIESTA MTWARA, NI SHEEEEEDAH..!!!!!



Hiii ni Shigidi kwa kweli...Wadada walisimama na kushindwa kuvumilia wakaamua kujiachia kukaa chini na Kumbonji kidogo, huku wakisubiri Msanii wanao mpenda apande jukwaani wampatie shangwe za Kutosha....!!! 
Wengine walishindwa Kuvumilia na kuamua Kuuchapa Usingizi kabisa Ndani ya Uwanja Huo bila hata ya kujali makerere ya Speaker zilizokuwa zikitoa Muziki uwanjani hapo kuwa juu kuliko... Hii kweli ni Sheeeedah....!!!!!!
 

0 comments: