Hali ya Afya ya Mchekeshaji Vengu wa Original Comedy
Nilikuwa natazama Komedi ya kundi la
Orijino Komedi. Naona katika orodha ya washiriki, ytpo Joseph Shamba
"Vengu" ambaye ni mwaka wa pili sasa hajaonekana hadharani.
Yuko wapi? Tuliambiwa anaumwa, vipi maendeleo yake?
Kwa anayejua...atujuze
0 comments: