JAMANI HIVI VICHEN PATI VYA MTANI!! NI LAANA TU TENA NI HADHARANI NA WATOTO WAKIWEMO
Hili
ni tukio katika moja ya Pita pita zangu nilinasa tukio hili huko
wilayani Temeke Dar-es-salaam, Vicepati hivi vikiwa vinaendelea
Kuharaibu maadili ya watantazani, kwa mara nyingi hufanyika maeneo ya
wazi kabisa na watoto
akishuhudia
mchezo mchafu unaofanywa na wanawake hawa. Na wengine hudiriki kuvua
Nguo kabisa kuonyesha Tupu zao hadharani.... Kama wewe unaishi Masaki
amaa nyumba zenye Mageti makali huwezi ukaelewa mambo kama haya
yanayoendelea katika maeneo ya Tandika, Tandale, Manzese na maendeo
Mengi hapa Da-es-salaam, Tz
0 comments: