JE WAJUA?MUONE HUYU NDIYE MTU MFUPI KULIKO WOTE DUNIANI
Guinness World Records kutoka central India imethibitisha kuwa Jyoti Amge mwenyeurefu wa inchi 24.7 aliyesherehekea hivi juzi siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 18, kuwa ndiye mwanamke mfupi kuliko wanawake wengine duniani.
Ikitolewa ripotihiyo kwa msaada wa chombo cha habari BBC iesemakuwa bi. Jyoti kwa uthibitisho uliofanyika chini ya wataalamu umebaini kwamba hakuna mwanamke yeyote mwingine duniani ambaye ameifikia rekodi yake, kutokana na kimo cha ufupi alio nao.
Aidha wataalamu wa mambo ya sayansi wamesema kuwa tatizo lakimaumbile linalo pelekea watu kuzaliwa aidha warefu au wafupi zaidi hii nikutokana na matumizi mabaya ya silaha za moto pamoja na milipuko ya kila siku ambayo hufanya mabadiliko katika uso wa dunia nakuaacha tabaka ambalo hata kiumbe kitakacho zaliwa kinaweza kuathiriwa kabla na baadaya kkuzaliwa. nakuongeza kuwa miaka thelathini (30) iliyopita nchini japani hakukukuwa na watu wanaozaliwa na maumbile ya ajabu kama vile mtu mwenye vidole sita, miguu mirefu, ama kichwa chaajabu.
wataalamu wanashauri nchi zenye migogoro na mapigano kuhakikisha wanaacha na hata kusitisha mapigano mara moja kwaajili ya kizazi kijacho, hii itapunguza idadi ya watu wenye ulemavu uliwenguni na duniani kwaujumla.

Top 10 casinos in Malaysia with jackpot slots, jackpots - JTM Hub
ReplyDeletejackpot slots, jackpots, and casino 평택 출장샵 Best Gambling Sites · 전주 출장마사지 1. Jamba.com · 2. 1xBet · 과천 출장안마 3. BetOnline.com · 4. 경기도 출장샵 1xBet.com · 고양 출장마사지 5.