Lady Jay Dee abadili Majina ya Vitega Uchumi Vyake Kumsahau Gadner G Habash

Lady Jaydee hajabadilisha jina la lounge yake kutoka Nyumbani Lounge hadi MOG peke yake. Machozi Band kwa sasa nayo itakuwa ikijulikana kama ‘Lady Jaydee and the Band!’“Tumeondoa kulia,” Lady Jaydee amekiambia kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio.

Hii imekuja wakati ambao inasemekana ameachana na aliyekuwa mumewe Gadner G Habash , Je kuna ukweli wowote kuwa anabadilisha majina ili kumsahau mumewe?

0 comments: