MAHABA NIUE!! WEMA SEPETU ANA CHAKE DIAMOND PLATNUMZ NA MDADA BOSS LADY SIO SIRI TENA
kimesema
binti huyu na chibu walifika wote airport ili kujiandaa na safarit ya
kuja tz. awali inasemekana wawili hao walikua karibu kitu kilichofanya
wapeane kampani waje na ndege tarehe moja, ratiba moja, kwa siti moja,
Hii imekuja wakati ambao kuna tetesi kuwa Dai Ameachana na Mpenzi wake
Wema Sepetu.
0 comments: