SHERIA ILIYOMRUHUSU MWANAMKE KUJIUA.
Euthanasia
law ni sheria iliyomruhusu Brittany Maynard mwenye umri wa miaka 29
raia wa Marekani kujiua siku ya jumamosi kw kutumia dawa hatari kutokana
na kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya ubongo.
Sheria hii inawaruhusu wanaosumbuliwa na magonjwa sugu kuamua kuishi au
lah na mwanamke huyu aliamua kujiua kabla hajaanza kupata dalili za
ugonjwa huu ili kuepuka maumivu hivyo kuzua mjadala mkubwa juu ya sheria
hii..
0 comments: