MAPENZI: VITU NANE VYA KIPUMBAVU AMBAVYO WADADA HUFANYA KWENYE MAPENZI image
1.Kuishi
na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini
ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga.2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani
sana nitakao gusa imani zao.3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye
even hata kwenu apajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui4. Kutumia
picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeyehana hata wazo
la kufanya hivyo.5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira),
mwanaume ambaye
ajatoa pesa ya mahari.6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo
kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye sii mume wako.7.
Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya mwanaume ambayewazazi wako
hawamjui.8. Kumpa mwanaume sexkirahisi tu kwa sababu amekuambia atakuoa.
0 comments: