NAMNA UPWEKE UNAVYOGUSA MAISHA YETU YA KILA SIKU
Kama
katika mazingira yako ya nyumbani,mtaani,shuleni,kazini,au popote kuna
mtu umenotice yupo hivi jaribu kuongea nae.Sometimes upweke hupelekea
mtu kutaka kujiua kulingana na jambo linalomla ndani kwa ndani.Utakuta
mtu anatabia ya kukaa ndani tuuu labda ni mpangaji mwenzio yeye akiingia
ni ndani hatoki njee anatumia muda mwingi amejifungia mara nyingi kuna tatizo.Hata hapo
nyumbani unakuta akirudi yeye ni chumbani tuuu hataki kujichanganya
labda.Mwingine anaweza kuwa ni mtu wa furaha na tabasamu usoni lakini
anaficha ukweli kuwa yu mpweke kwa sababu mbalimbali zilozojitokeza
kwenye maisha yake.Tujaribu kuwagundua mapema na tuongee nao na
watufungulie mioyo yao.
*
*Dada
dina cares itatembelea nyumba za kulelea wazee katoka siku ya wazee
duniani mwezi ujao tunakukaribisha kutuletea chochote kama
chakula,mavazi,sabuni na mafuta nasi tutaviwasilisha
0 comments: