ONA HII MPYA KUTOKA KWA SHAAA.....HAIJAWAHI TOKEA
"Ay na Unity Entertainment ndio wamewezesha collabo hii,wametukutanisha na mpaka kwenye siku ya Video walikuwepo na wakajumuika nasi "
Shaa anaendelea kusema kuwa "kwenye interview huko Kenya alishangaza watu kwa kumpata Redsan kwenye wimbo wake kwani ni msanii wa kipekee huko Kenya ambaye ukifanya naye kazi itafungua milango mingi"
Shaa anasema collabo nyingine na Wakenya zinakuja, Octopizzo yupo kwenye list >PICHA ZINGINE HAPA
0 comments: