SIRI IMEFICHUKA: LICHA YA MAHABA NIUE, SHILOLE NA NUH NI KAZI BURE! 22:30 ulimwengu vijana 0 Skendo
Ishu
hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao
Mwananyamala-Manjunju jijini Dar, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na
kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie
kwanza Nuh:
IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed
‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa
kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani.
Staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akiwa na mpenziwe Nuh
Mziwanda. “Mimi ninampenda Shilole kwa asilimia 100, ila siko tayari
kubadili dini kwa ajili yake maana kwetu ni wakristo na hapa naongea
mama yangu ni mzee wa kanisa hivyo Shilole naamini anaweza kubadili
maana mimi tayari nimeshafanya mengi sana juu yake.”
Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda wakipozi. Msikie
Shilole: Mimi siwezi kubadili dini maana Nuh ndiye alisema atabadili
hata hivyo familia yangu haiwezi kunikubalia kubadili dini kwa ajili ya
kufunga ndoa kama amesema naye hawezi kubadili basi tutaishi tu maana
hata ndoa ya serikali yenyewe hawezi na maisha siyo lazima tuoane.”
0 comments: