MASKINI JAJI WARIOBA,VURUGU, NGUMI ZAPIGWA WAKATI WA MDAHALO WA KATIBA
Jaji Warioba akitolewa nje ya ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar chini ya ulinzi mkali baada ya vurugu kutokea .
SOMA HAPA: DODOMA ILIVYOTIKISA MJI: Vurugu hizo zimezuka baada ya watu waliokuwa na mabango kuvamia ukumbuni hapo na kusababisha baadhi ya watu waliokuwa wanafuatilia mdahalo huo kuwakabili na kuwapa kichapo.
Baada ya vurugu hizo, mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere na kurushwa moja kwa moja na ITV umesimamishwa kwa muda.
SOMA NA PAHA:
0 comments: