Ukienda na Gari Mlimani City Jiandae Kulipa Parking Fee Hizi
Kama una Gari na umeamua kwenda mlimani
city kula bata ama kufanya shopping kwa taarifa yako kupaki gari si bure
tena kama zamani ...Kuna utaratibu mpya sasa wakulipia kwa wale wenye
magari kulingana na masaa utakayo park gari yako...hiyo picha hapo juu
inaonyesha bei.
0 comments: