Baadhi
ya wanafunzi wapya (wageni) ambao ni Diploma walioanza kuiingia wekeend
katika chuo kikuu cha Dodoma.... Safari hii imekuwa tofauti sana na
miaka ya nyuma baada ya kuvunja historia miaka ya nyuma... Kuna baadhi
wamekuja wakiwa na mwonekano wa tofauti kutokana na uhalisia wa Maisha
wanayoishi huko vijijini na maisha ya wanaoisha mjjini, hali hiyo
ilitokea baada ya wale wanaojiita wakishua wakiwacheka wale wa vijijini
na kuwakejeli kwa kuwapiga picha kwa mwonekano wao, |
0 comments: