MADAHA, ISABELA WAFANYA UFUSKA! USIOFAA KUIGWA HATA KIDOGO JIONEE MWENYEWE HAPA
Mpenzi Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Moja Kwa Moja
HAMNAZO? Mastaa
wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wamenaswa
wakifanya vitendo vichafu maeneo ya Tabata jijini Dar baada ya kupiga
masanga ya kutosha mwilini.
Kwa mujibu wa chanzo, Baby na Bella walifika maeneo hayo juzikati
wakiwa wazima kabisa lakini baada ya kufakamia pombe kwa kasi ndipo
walipoanza kufanya madudu huku mchumba wa Bella, Luteni Kalama,
akiwakimbia na kuwaacha wenyewe.
“Walianza kushikanashikana kama wanasagana, wakapakatana huku wakiwa
na chupa za pombe wakicheza kwa hisia za kimahaba kama mtu na mtuwe,
yani Kalama anatakiwa ajiongeze vinginevyo mkewe mtarajiwa
ataharibikiwa,” kilisema chanzo.
Baada ya paparazi wetu kunasa picha tukio hilo kutoka kwa sosi,
aliwavutia waya wawili hao kwa nyakati tofauti ambapo walisema hawaoni
tatizo katika mambo hayo waliyoyafanya.“Tulikunywa pombe zetu na
hatukuwa na tatizo na mtu yeyote kuna shida gani? Hakuna vitendo vibaya
tulivyofanya kwa sababu hatukugombana na tulikuwa tuko na amani na raha
zetu,” alisema Baby huku Bella naye akitoa maneno yanayofanana kabisa
na hayo ya Baby.
0 comments: