WEMA SEPETU: SINA MPANGO WA KUZAA KWA SASA,NIACHEKI NA NIMECHOKA KUPIGIWA KELELE
Wema
Wema Sepetu ameamua kuwatolea uvivu baadhi ya watu wanaomtaka azae
mtoto. Wema mwenye miaka 25 kwasasa amesema hana mpango wa kuzaa kwa
muda huu pengine kwakuwa umri wake bado sio mkubwa ni wa msichana wa
kawaida. Wema amesema.................. "Okay... Lets get things
straight here.... See that doggie up there... You all see her....? that
is my bebi.... since i don't have a bebi... Huyo ndo mtoto wangu...
Basi sasa nitapopost halafu nisikie kuzaa naku-block fasta... Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai... Akha...!! Zaa zaa... If u have a child i'm happy for you... Na wish u thea best... I don't... Ndo Mungu alivyonipangia... So please hey....

Watakaozaa all da best... Walio na mipango ya kuzaa hongereni... Mimi sina ... I'm done... Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko.... Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone... This is getting too personal sasa..."
0 comments: