DIAMOND PLATNUMZ ANENA MAZITO JUU YA WEMA SEPETU KUPITA UKURASA WAKE WA FACEBOOK,SOMA HAPA
Laiti
kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa
lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha,
Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila
aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama
tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi
tulipotokea..
.to the world, you may be one
person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama
kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu
kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you
while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day!
Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home
soon....Love you mama
0 comments: