KAJALA MASANJA AJUTA KUPIGA TUNGI....KILICHOMFANYA MUNGU TU NDIYE ANAJUA

Msanii wa Muvi Bongo Kajala Masanja
KAJALA Masanja, amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumivu makali hivi karibuni.Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo sasa siku hiyo alikunywa sana pombe na kujikuta akipata maumivu makali tumboni.

“Najuta mwenzenu siku ile kunywa pombe maana maumivu niliyoyapata sitayasahau, nafikiri huu ndiyo utakuwa mwisho wangu kunywa pombe,” alisema Kajala.

0 comments: