BOFYA HAPA UANGALIE SABABU ZA MWAUME KUPENDWA ZAIDI NA WANAWAKE!!!!!
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa...Mimi
ninashangazwa sana na vijana pamoja na wazee wanaopoteza muda wao
kusoma kwenye mitandao na hata kununua vitabu vya kimahaba ili kufahamu
ni kitu gani kinawavutia zaidi wanawake kwao.. Jibu ni moja tuu ndugu
zangu kwa sasa! MONEY IS EVERYTHING!
Kama
inavyoonekana hapo juu, msemo huo una maana kubwa sana ingawa watu
wengi tunapuuzia misemo inayotolewa mitandaoni. Ila kiukweli kabisa
ukitaka upendwe mpaka ukimbie nyuchi chumbani ni kusaka sana pesa na
kuzinyaka na pia kuweza kuzitunza zisikukimbie.
Hivi
unafikiri Keyi Ling amempenda sana mzee Mengi? Hivi unafikiri Wema
Sepetu, Miss Tanzania 2017 anampenda sana Diamond na domo lake
lile.....Money Talks!
Nyie
wanaume mnaopopoteza wakati wenu kusaka wanawake, MKOME KABISA...muda
huo utumieni kutafuta pesa kwa kadri ya uwezo wenu...wanawake wapo na
watakuwepo tuu pesa ikiwepo...isipowepo. Usipokuwa na pesa huyo
uliyempata kwa nadra bila pesa atagongwa mpaka nyuma na mtu mwingine
mwenye nacho.SHENZI TYPE NINYI MSIOELEWA!
0 comments: