HILI NDIO CHIMBO KUU LA MAKAHABA JIJINI DAR TAZAMA WALICHO KISEMA BAADA YA KUFUMANIWA...
Mapaparazi
ikishirikiana na askari wa ulinzi shirikishi, wamefanikiwa kufumua
danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule baada ya
kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na njemba
ambaye hakujulikana jina lake.
Tukio
hilo la aibu ya karne lilijiri ndani ya eneo la shule ya msingi
Shekilango, iliyopo Mapambano, Sinza jijini Dar, hivi karibuni ambapo
mke huyo wa mtu alikuwa akichepuka.
Awali,
mapaparazi walipokea taarifa za kuwepo kwa uchafu huo kutoka kwa
wasamaria wema wanaoishi eneo hilo baada ya kukerwa na tabia hiyo chafu
huku wakiacha kondom zikiwa zimezagaa na kuhatarisha afya za watoto wao
ambao huchezea mipira hiyo ya kinga kama mapulizo.
Baada ya mapaparazi kunyetishiwa ishu hiyo, walishirikiana na askari hao ambapo walivamia eneo hilo na kumbamba mwanamke huyo akibanjuka na njemba.
Baada ya mapaparazi kunyetishiwa ishu hiyo, walishirikiana na askari hao ambapo walivamia eneo hilo na kumbamba mwanamke huyo akibanjuka na njemba.
Wazinifu wakivaa mara
baada ya kunaswa wakifanya yao.
Wawili
hao, baada ya kubambwa 'laivu' walitiwa kizuizini kabla ya vijana
wanaodaiwa kuchukua posho kwa wanaofanyia mambo yao kwenye danguro hilo
kuanzisha vurumai ingawa walidhibitiwa huku jamaa aliyekuwa anahudumiwa
akitoka nduki.
Akizungumza
na paparazi, mwanamke huyo aliomba asamehewe na kusema kwamba
kinachomsababishia kufanya shughuli hiyo ni ugumu wa maisha na kundi la
watoto anaowalea ambao baba yao hana ajira.
Wazinifu wakiwa chini ya ulinzi.
Paparazi
lilipotaka kuzungumza na mumewe ili kujua kama anafahamu kuwa mkewe
anafanya biashara haramu ya kuuza mwili, mwanamke huyo alidai kwamba
mumewe hana simu.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo alisikika akisema: "Dah! Mngewahi dakika kumi tu, mngemkuta baba wa Kiarabu aliyeingia na mwanamke muda si mrefu, hili danguro linatumiwa usiku kucha, yaani linapoingia giza tu hapa ni balaa hadi asubuhi."
Mwalimu
wa zamu, Kilavo Charles, aliiambia paparazi kuwa suala hilo
limeshafikishwa kituo cha Polisi Mabatini ambao waliahidi
kulishughulikia.“Ni aibu, asubuhi watoto wanafagia kondom, tunakosa cha
kuwaambia, hii ni hatari kwa kweli na tunaomba mamlaka zinazohusika
zilifanyie kazi jambo hili,” lisem

0 comments: