SITTI MTEMVU KUVULIWA AU KUTOVULIWA TAJI, ITAJULIKANA LEO!
Kamati ya Miss Tanzania leo inatarajiwa kuelezea ukweli juu ya sakata
la kudanganya umri la mshindi wa taji hilo mwaka huu, Sitti Mtemvu. Mratibu wa shindano hilo Hashim Lundenga amesema
kamati yake itaelelezea taarifa ambazo walikuwa nazo kuhusiana na
mrembo huyo na matokeo ya uchunguzi baada ya taarifa nyingi zilizoibuka. "Yamesemwa mengi na yameandikwa mengi, hivyo leo itajulikana kama atavuliwa taji ama la" maneno hayo amesema Lundenga Je, wewe mtazamo wako ni upi, unapenda abaki na taji au avuliwe? |
0 comments: