NEY WA MITEGO SASA APATA MTOTO WA KIUME: DUME LA MBEGU


Nay-Wa-Mitego



Rapper Nay Wa Mitego na mchumba wake Siwema wamebarikiwa kupata mtoto wa kiume tarehe 28/10/2014 ambaye ni siku ya kuzaliwa ya mama mzazi wa Ney Wa Mitego.





JE! umepitwa na HABARI zetu? tutumie email yako hapo CHINI upate HABARI zote kali ndani na nje ya BONGO. Karibu sana... Pamoja Daima

 

0 comments: