MKURUGENZI WA YAMOTO BAND NA WANAUME FAMILY SAID FELA AGOMBEA UENYEKITI WA SERIKALI ZA MTAA
Mkurugenzi
wa Yamoto Band na Wanaume Family, Said Fela anawania uenyekiti wa
serikali za katika mtaa wa Kirungure, wilayani Temeke kupitia CCM.
“Leo wadau naomba dua
zenu nagombea serikali ya mtaa uku kwetu kirungule na nipo na mgombea
mwenzangu ndio tunagombania hiki kiti apate yeye au nibebe Mimi
inshaallah,” ameandika Fela kwenye Instagram.
Wadau tunaomba dua zenu leo kwa @mkubwafella ili aweze fanikiwa kubeba kiti hichi cha serikali ya mtaa Kirungule....
0 comments: