NI SHEEDAH 'WEMA, AUNTY HUSAGANA'
Ni sheedah! Pamoja
na kukanusha kwa kutumia nguvu kubwa, nyuma ya ushosti wa mastaa grade
one wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty
Ezekiel kuna siri nzito ikidaiwa kwamba wawili hao
husagana.Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty Ezekiel wakidendeka hadhalani.
TUKIO BICHI
Madai hayo ya muda mrefu huku wenyewe wakisisitiza si ya kweli, yameibuka upya juzikati baada ya warembo hao kuonesha mahaba niue au nikongorowe kisha ‘kudendeka’ hadharani na kusababisha mwandani wa Wema, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kukasirika na kuondoka eneo la tukio akiambatana na timu yake ya Wasafi Classic Baby (WCB).

ILIKUWAJE? Tukio hilo lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri usiku
wa kuamkia Oktoba 28, mwaka huu ndani ya Mgahawa wa Rodizio, Masaki
jijini Dar ambapo Aunty alikuwa akisherehekea siku ya yake ya kuzaliwa
‘bethidei’.
WEMA ATOKEA DUBAI
Shughuli hiyo ilitawaliwa na matukio baada ya Wema kuwasili ukumbini hapo akitokea nchini China kupitia Dubai alikokwenda hivi karibuni kwa biashara binafsi ikidaiwa kwamba amerejea na mkwanja wa kutosha.

Wema alitinga ukumbini hapo saa 7:15 usiku na kuwakuta wadau wakiendelea
na sherehe hiyo ambapo mara tu baada ya kufika alikumbatiana kimahaba
na Aunty zoezi lililochukua dakika kadhaa wakiwa wamenasiana huku
wakifunika nyuso zao kwa zile nywele nyingi za Wema hivyo kilichoendelea
humo ndani hakikujulikana. Walipojifunua kwenye nywele ndipo ikabaini
kwamba kumbe walikuwa ‘wakidendeka’ bila kujali wingi wa kamera.
WASHUTUMIWA
“Mungu wangu, leo mambo hadharani. Mbona ni sheedah? Yaani wanadendeka hadharani! Kwa vyovyote vile Wema na Aunty husagana,” alisikika mmoja wa waalikwa.

Staa wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel akikata keki ya bethidei yake ndani ya Ukumbi uliyopo kwenye Mgahawa wa Rodizio Masaki.
Mmoja wa waigizaji chipukizi alidakia: “Yaani utadhani wapenzi kabisa
maana kila mmoja anaonesha hisia za kumisiana. Hawaogopi kuambiwa
wanasagana? Haya bwana, yetu macho maana leo tutaona mengi. Vitendo kama
hivi ni vya kulaaniwa vikali na kuwakumbusha kwamba wao ni kioo cha
jamii.”
DIAMOND AKASIRIKA, AONDOKA
Kufuatia hali hiyo, Diamond alionekana kukasirika na kushindwa kuvumilia hivyo aliamua kuwaacha wajinafasi kwa kuondoka ukumbini akiwa ameambatana na timu yake. Waalikwa waliokuwa ndani ya ukumbi huo waliendelea kupigwa butwaa na kitendo hicho hasa Diamond alipoamua kusepa huku nyuma Wema na Aunty wakibaki huru na kuendelea kufanyiana mambo ya kimahaba mara nyingine wakati wakilishana keki kwa staili ya njiwa.

AMANI LAMVAA AUNTY
Baada ya kuona hali hiyo, paparazi wa Amani aliyekuwa ukumbini hapo alimvaa Aunty na kumuuliza kwa nini ameamua kuonesha hali hiyo mbele ya kadamnasi ambapo alijibu hakuna mambo ya usagaji. Alisema hali hiyo ilitokea tu maana yeye na Wema ni marafiki ambao wameshapitiliza hivyo wamejikuta wakiwa kwenye hali hiyo bila wao kuona kama ni tatizo. “Kwani nani asiyejua kama mimi na Wema ni marafiki, suala la kukisiana ni jambo la kawaida kwetu.

MAMA LA MAMA
Kwa upande wake mama la mama Wema aliishia kusema kuwa alimmisi sana shoga’ke na hakuna jambo la ajabu ambalo amelifanya juu yake maana wao ni marafiki kama marafiki wengine.

TUJIKUMBUSHE
Kwa muda mrefu Wema na Aunty wamekuwa marafiki ambapo kila mmoja hulala
kwa mwenzake tena kitanda kimoja tangu Wema alipotofautiana na Kajala
Masanja ambaye naye aliwahi kuhusishwa na masula ya usagaji na staa huyo
mkubwa asiyechuja.
0 comments: