USHAURI WA KIMAPENZI:Mara ya Tatu Sasa Namwota Secretary wa Kazini Kwetu Nikifanya Nae Mapenzi!! Nifanyeje??
Sijawahi kumtongoza, sina feelings zozote na yeye, wala sijawahi kufikiria kumtongoza. Hizo mara mbili nilivyomwota sikumwambia maana niliona kama ninaweza kujenga ukaribu ambao sijau-plan. Lakini mara hii ya tatu naona si vema nikae tu kimya maana siku hiz watu wana technic-know-how. Nitamweleza mbele za watu kuwa
0 comments: