BAADA YA KURUSHIWA MANENO KUWA MISS UGANDA ANA SURA MBAYA SASA ATOA YA MOYONI
Leah amesema kuwa, Urembo si namna ya muonekano wa nje bali ni kilicho
ndani ya mtu na kile anachoweza kuonesha dunia, huku akikazia kuwa yupo
tayari kuiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss World mwezi
Desemba mwaka huu. Kufuatia mrembo huyu kukosolewa sana
mtandaoni, watu maarufu pia kama Bobi Wine na Anne Kansiime wamemtetea
mrembo huyu na kutaka watu kuacha kumkosoa mrembo huyu bila kufahamu ni
kwa namna gani amepambana kushinda nafasi hi
0 comments: