Breaking News: Ngumi za Ibuka kwenye mdahalo mkubwa kujadili katiba inayopendekezwa


Mdahalo mkubwa ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere wakatishwa ghafla baada ya kuibuka ugomvi mkubwa. Watu wasiofahamika walisimama na Mabango yaliokuwa yanaonyesha kukubaliana na katiba inayopendekezwa wakati mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya katiba Waziri mkuu mstafu Jaji Warioba alipokuwa anahitimisha hotuba yake kama mchangiaji wa kwanza. 

Je ni Kweli CCM wameandaa watu kwenda kumzomea Warioba ?

0 comments: