BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA
Basi
la Happy Nation maarufu kama Balotelli mtukutu lenye namba za usajili T
281 ARR likiwa limepata ajali maeneo ya Igurusi, Mbeya.Baadhi ya wananchi wakiwaokoa majeruhi waliopata ajali hiyo.Wananchi wamekusanyika kuzunguka basi lililopata ajali maenea ya Igurusi,Mbeya.
Basi la Happy Nation maarufu kama Balotelli mtukutu limepata ajali
karibu na Igurusi mkoani Mbeya likiwa safarini kuelekea Dar. Chanzo cha
ajali kikidaiwa kuwa ni kupasuka kwa tairi la mbele kushoto
0 comments: