EXCLUSIVEEE......WEMA NA PENNY WAPATANA..TAZAMA PICHA
Mpenzi Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Moja Kwa Moja
Vj Penny na Wema Sepetu baada ya kupatanishwa |
Wema na Penny walipatanishwa jana na rafiki yao aitwaye Junaithar ambapo ilikuwa birthday yake huku akiwaalika marafiki hao wa zamani na kisha kuwapatanisha na kuweka picha Instagram wakiwa wote kama zinavyoonekana.
"Wema na Penny leo wamemaliza tofauti zao, nilimjua Wema kupitia Penny, nawapenda sana wadogo zangu@Wema Sepetu_ Aunty Ezekiel @Vj Penyy04 @nsepetu" aliandika Junaithar kupitia Instagram
Kwasasa Vj Penyy amechumbiwa na mwanaume ambaye watu bado kumjua baada ya kumwagana na Diamond Platnumz mwishoni mwa mwaka jana
Vj Penny, Junaithar na Wema Sepetu baada ya kupatanishwa
0 comments: