HII HAPA INAHUSU BABA ALIYEMWALIKA DINNER MBAKAJI WA MWANAE NA KUMUUA...
Baba mmoja India, amemuua mtu mmoja baada ya kubaini kuwa alimbaka mwanaye kipindi baba huyo akiwa safarini.
Hilo limetokea India, ambapo imesemekana
baada ya kubaini kuwa mwanaye alifanyiwa hivyo na jamaa huyo, aliamua
kumualika chakula cha usiku ili waweze kukaa kujadili suala hilo, ambapo
baada ya kufika alimfunga kwenye kiti na kumtesa kwa kumbana na koleo
iliyounguzwa katika sehemu zake za siri mpaka jamaa huyo kufariki.
0 comments: