PICHA ZINASIKITISHA; MAMA AMTUPA CHOONI MWANAE, IRINGA
Na Mwandishi Wetu, Iringa.
Mama mmoja mjini Iringa aamua kumtupa mtoto wake chooni mara baada ya kumzaa nyumbani.
Mtoto
huyo wa kiume aliyezaliwa tarehe 4/11/2014 majira ya jioni na mama huyo
na kuamua kumdumbukiza chooni ambapo kisa mpaka sasa anamkwepa mumewe
aliyepo safarini asijue kuwa amepata mimba na kuzaa.
Hata
hivyo chanzo cha habari kinasema kuwa, mama huyo kwa jina la magdalena
limano (32) mkazi wa Iringa anatabia ya kumdanganya mumewe na kutoka na
mabwana wengine pindi mumewe akiwa safarini kikazi.
Wasalia wetu wakimtoto shimoni.
Mtoto akiwa ametolewa shimoni.
Wasamalia wema walifika eneo la tukio.
Mtoto
huyo aliyetupwa choon majira ya jioni mara baada ya kuzaliwa na kukutwa
asubuhi ya tarehe 5/11 asubuhi akiwa analia ndani ya choo na majirani na
kutoa taarifa.
Mpaka
sasa mtoto ni mzima wa afya na yupo katika uangalizi mzuri wa hospitali
huku mama akishikiliwa na jeshi la polisi akisubiri kupandishwa
mahakamani.
Source:kajunason.blogspot.com
0 comments: