Hivi ndivyo golikipa wa timu ya taifa ya Afrika Kusini alivyoagwa kishujaa
Mchezaji huyo alifariki baada ya kupigwa
risasi siku ya jumapili majira ya saa 2 usiku, Oktoba 26 akienda
kumuokoa mpenzi wake aliyekuwa amevamiwa na majambazi nyumbani kwake,
tayari mtuhumiwa wa kwanza amepandishwa kizimbani jana Oktoba 31.
Maelfu ya watu wamefurika uwanja wa
Moses Mabhida, Durban mchana wa leo kwa ajili ya kuaga mwili wa golikipa
huyo wakiwa wamevalia t-shirt zenye picha ya Meyiwa .
0 comments: