LADY JAYDEE AANZA KUMUIMBA MTALAKA WAKE.
Mdau
mmoja Huko Jamii Forums Amefunguka Hivi kuhusu Tangazo la Mgahawa Mpya
wa MOG ambalo amelifanya Lady Jady linalorushwa Radio Mbali Mbali:
“Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia
na
YAHAYA UNAISHI WAPIII Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!!
Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana
naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi
tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake,
0 comments: