MTANGAZAJI MAARUFU WA RADIO DSM AFANYIWA KITU MBAYA USIKU .............


Mtangazaji wa zamani wa Redio Clouds FM ambaye sasa ni ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani, George Njogopa akiwa Rais Jakaya Kikwete.
MTANGAZAJI wa zamani wa Redio Clouds FM ambaye sasa ni ripota wa Redio Deutsche Welle ya Ujerumani, George Njogopa ameporwa gari usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita maeneo ya Maryland Bar, Mwenge jijini Dar.

Kwa mujibu wa chanzo, mtangazaji huyo alikuwa na mwanamke ambaye anadaiwa kuhusishwa kuongoza tukio zima la wizi huo wa gari aina ya Spacio New Model lakini mwenyewe amekanusha.” Sikuwa na mwanamke, walionipora walinivamia na kunitupa maeneo ya Maryland, tayari nimeshafungua jalada katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa uchunguzi zaidi,” alisema Njogopa

0 comments: