AIBU: BOYFRIEND WA MUIMBAJI WA UGANDA DESIRE LUZINDA AVUJISHA PICHA ZAKE ZA UTUPU (18+)
Boyfriend wa muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda, Flanklin Emuobor amevujisha picha za utupu za mrembo huyo.
Raia huyo wa Nigeria amesema amevujisha
picha hizo kwakuwa alichoshwa na tabia za uchepukaji za muimbaji huyo
maarufu ambaye anashutumiwa kutembea na wanaume kibao.
Tayari mrembo huyo amejiondoa kwenye Facebook.
Jina la Desire Luzinda limetrend kwenye mtandao wa Twitter kutokana na picha hizo huku watu wakiigiza pozi la kwenye picha hiyo.
0 comments: