MWANAFUNZI ANYWA SUMU YA PANYA BAADA YA KUNUSURIKA KUBAKWA NA BABA YAKE
NB-Picha haihusiani na habari hapa chini
Polisi
mkoani Tanga, inamshikilia mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Old Tanga
(16), (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za kutaka kujiua kwa sumu baada ya
jaribio la baba yake mdogo kumbaka kushindikana.
0 comments: