wakati mkisubiria ya Diamond na Wema, huko Hollywood kimeshanuka. soma hapa zaidi....!!
Wakati
watu wakizidi kusubiria tukio la kihistoria kwenye sanaa ya Bongo fleva
na bongo movie, ndoa kati ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu kufunga
ndoa, huko Hollywood hiki ndicho kilichojiri. Ni baada ya miaka tisa ya
mahusiano hatimaye imekuwa, huko hollywood weekend hii hii haya ndio
yaliyo-make headlines, ni harusi kati ya ma-star wakubwa wawili Angeline
Jolie na Brad Pitt, wawili hawa walififanya harusi ndogo iliyoalika
wana ndugu tu wa karibu na marafiki, harusi iliyofanyika katika mji wa
Chateau Miraval, Hii inakuwa ni ndoa ya pili kwa Brad Pitt na ya tatu
sasa kwa Angeline Jolie.
0 comments: