SOMA HAPA HII NI KWA WANAWAKE WANAOTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO
Sindano hizo zilipigwa marufuku na serikali mwaka
2012 , miaka sita baada ya Denny kudungwa
( Wakili).
Denny alidungwa sindano ya kemikali hiyo ya
Silicon mwaka 2006 na leo ndio ameanza kuhisi
athari zake.
Hata hivyo wanawake wengi wanaendelea
kujiongezea makalio (umri wa miaka 18 -50 ).
Utafiti unaonyesha kuwa wanawake zaidi ya kumi
hufariki kila mwaka kutokana na kudungwa
sindano hizo .
Kuna madaktari wawili pekee wanaoweza
kumfanyia upasuaji mtu kama Danny aliyeathrika
kutokana na kemikali hiyo lakini kwa Danny
anahitaji kusubiri kwa mwaka mmoja kabla ya
kufanyiwa upasuaji huo maana kuna wanawake
wengi kwenye orodha ya wanaosubiri kufanyiwa
upasuaji .
0 comments: