MSIBA: MTANGAZAJI BEN KIKO AFARIKI DUNIA
ALIYEKUWA
mtangazaji maarufu wa Radio Tanzania, Ben Kiko, amefariki dunia usiku
wa kuamkia leo Oktoba 31, 2014 akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Kiko amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo kwa muda mrefu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN.
0 comments: