MTANZANIA IDRIS HAWA MKUU WA NYUMBA BIG BROTHER AFRIKA

Mr. 265, Frankie, Nhlanhla na Idris walikuwa wakishiriki kwenye shindano la Ghandour Putt-Putt Golf Course kwaajili ya kumpata Head of House wiki hii.
fQUgSe8O
Washiriki wengine walikuwa wakitazama kama washangiliaji.Katika shindano hilo mshiriki aliyeupiga mpira mara chache

 zaidi ndiye aliyeshinda kuwa head of house. Ni Idris ndiye aliyeibuka na ushindi huo na kuwa Hoh wiki hii. Hiyo ina maana kuwa hatakuwa na hatari ya kutajwa kwaajili ya eviction.

0 comments: