KWA WATUMAIJI WA Whatsapp SOMA HAPA whatsapp 2

 
whatsapp 2Nakumbuka moja ya taarifa kubwa zilizowahi kuchukua headlines mwezi Februari 2014 ilikuwa ni stori ya kuuzwa kwa mtandao wa Whatsapp kwa mmiliki wa Facebook, leo kuna taarifa nyingine mpya kuhusiana na watumiaji wa mtandao wa Watsapp.
Haya ni mambo manne mapya ambayo huenda hujayasikia kuhusu WhatsApp;-
1. Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika simu zote za mkononi zenye uwezo wa kuitumia
2. Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa, tick mbili za kijivu zina maana ujumbe umemfikia mlengwa, na tick mbili za blue zina maana kuwa mlengwa ameusoma ujumbe uliotumwa
3. Ukibonyeza na kushikilia ujumbe uliotuma inatokea Pressing and holding an individual message shows the Message Info option
4. Ukibonyeza ujumbe uliotuma utaona muda kamili ambao ujumbe huo ulisomwa
whatsapp
kwa sasa  huduma hiyo itakuwa ikionyesha tick mbili za rangi ya blue upande wa chini kulia katika kila ujumbe unaotuma kubainisha kuwa umesomwa.
Ukibonyeza ujumbe wenyewe itakuonyesha muda ambao uliyemtumia ujumbe huo kausoma.
Tazama video hii uone mabadiliko hayo.
bonyeza play kuona video hapo chini

0 comments: