Shetta: Hatuwezi kumsaidia Chidi Benz kwa sasa, tuiachie mahakama
Shetta alikuwa na Chidi Benz wakati anakamatwa na walikuwa wakielekea Mbeya kwenye show.
Hili suala tayari lipo mahakamani, sasa siwezi sema nifuatiliee moja kwa moja kwa sababu nilisikia leo ndo anapelekwa mahamakani. Kwahiyi sasa hivi hebu tuache kwanza mahakama ifanye kazi yake mambo mengine baadaye,” amesema Shetta.Credit Bongo5
0 comments: